Recent content by Mwambelamwanitu

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

    Wakuu, salama? Kuna hali inashangaza sana. Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka kuelekea mwishoni mwa mwaka jana around hiyo November kuna hali ya upungufu wa maji ilitokea maeneo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nakubaliana na hayo mapendekezo ya mdau ukiongezea na hayo👇 kwenye link: Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kukabiliana na foleni Jiji la Dar es Salaam hii hapa

    Nakubaliana na mapendekezo hayo ukiongezea na hayo kwenye link pia Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kupunguza foleni jijini Dar es Salaam

    Nakubaliana na mapendekezo hayo ukiongezea na hayo kwenye link pia Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)

    Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida. Sasa...
Back
Top Bottom