Recent content by Mwambanga

  1. Mwambanga

    JamiiForums Natafuta kazi ya ukuli kiwandani au godown

    Natafuta kazi ya ukuli ktk magodown au viwandani, kama unajua sehemu kuna nafasi ya kazi hii nijurishe
  2. Mwambanga

    JamiiForums Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Mmmmh, mi napita tu wadau
  3. Mwambanga

    JamiiForums Nimwambie kupitia simu au nisubiri mpaka nitakaporudi?

    Habari zenu ndugu!! Naomba mnisaidie ushauri ktk hili: kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana na nilihitaji awe mchumba wangu, lakini sikupata nafasi ya kumwambia kwani baada ya kufahiama naye alipata safari ya ghafula akaondoka. Baada ya miezi kama 9 akarudi tena na hivyo ikanibidi nianze...
Back
Top Bottom