Habari za kazi na pilika za maisha wana Forum. Ninatafuta mashamba ya kukodi, ninahitaji heka 20 , ninaishi Mbeya kama kuna mtu mwenye taarifa za upatikanaji wa mashamba nitashukuru kama atanisaidia,asanteni.
1. Uvumilivu gani wa Kikwete wakati amewaadhibu wale wote waliokuwa kwenye kambio dhidi yake wakati wa mchakato wa kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM mwaka 2005?
2.Kama udikteta unaozungumzia wa Dk.Slaa ni ule wa kutaka Zitto aondoe jina lake wakati akitakka uenyekiti wa kiTaifa, nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.