Hakuna kutuma Kwa njia ya posta wanakukumbusha barua utakayo tuma hakikisha umeisaini, kuhusu vyeti uwe umeviatachi sehemu husika , maombi yote ni online hakuna kutuma Kwa njia posta nadhani ata kwenye tangazo wamesisitiza!
Sidhani kama wanawapigiwa lakin jitaidi umeweka mareferee watatu, kama wanavyotaka wao wasije wakakulima kichwa mapema, nasema hivi na ushahidi Kuna mwamba mmoja, aliliwa kichwa Kwa kutoweka refarees watatu yeye aliweka wawili tu ko jitahidi unaweka wote na details zao zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.