Story of Change kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Naanza kwa nukuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji mambo manne. Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Katika haya nachagua Ardhi na Watu kukusanya fedha ya kutosha ikiwa ni mbadala wa Tozo...
Wazee wenzangu, habari za humu ndani. Naamini muda umefika ili tugawane hizi SUPER SINGLE zangu kwenu nyinyi humu. Kwa muda mrefu nimepambana na "mhindi" kwa kushirikisha wadau wachache huku niliko; lakini leo nawaletea humu ndani ili aliyeko tayari basi tuwasiliane PM kwa hatua za utekelezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.