Huna hoja mtoa mada,unaonekana elimu yako haijakusaidia,na inawezekana una watoto wajinga,wapumbavu kama wewe,bila huyo mwalimu unayemwita kilaza hata huko kuandika usingeweza hata kidogo,,,jaribu kutumia akili yako vizuri kuondokana na negative attitude dhidi ya watu wengine ama makundi...