nina jambo linanitatiza sana labda mtanisaidia kunifungua akili.
nina mchumba yupo nje ya nchi na nilikutanishwa na dada yake tulipokuwa shule kwa njia ya simu tu.
na nimekutana nae mara moja tu katika uhusiano wetu ambao ni kama mwaka na nusu,....lakini shida ipo kwenye mawasiliano na huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.