Recent content by Mwalulesa

  1. M

    Tukumbushane ujinga tuloufanya pindi tukiwa watoto

    nilikuwa nikioga tayari mara watt wenzangu wataleta mpira ili 2cheze ss miguu ikichafuka ili nisigombezwe nilikuwa nanawa miguu kwa kutumia mate
  2. M

    Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa jamaa?

    Wa 5 c bure apelekwe mirembe
  3. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mimi ni mkuu. mkuu wa nchi kikwete. Kikwete n rais bora. Bora simba kuliko yanga. Yanga n wababaishaji coz awapend azam tv. Azam tv n chanel mpya. Mpya n safi kuliko ya zamani
  4. M

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Mchamba wima(zanzibar) kibororoni. Tenende(ukitoka kyela-ipinda)
  5. M

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Mwembe yanga(temeke),kilungule,temboni
  6. M

    sababu kumi za kupenda viroba

    Atujui tu kuwa 2najimaliza
Back
Top Bottom