Recent content by mwalukuta

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Juliana acha uongo kwani nape alipitishwa kwa kura ngapi mtama kama sio 16789 basi na yeye alipiga goli la mkono kama unasema sensa ya makazi wa kitongoji cha mtama ni 4398 inabidi tumchunguze nape na goli la mkono
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya polepole imepatikana Clouds Tv

    Tunaomba clip wandugu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, anguko la upinzani nchini na hadithi ya bora shetani nimjuaye kuliko malaika nisiyemjua!

    Hkigwangalla nimuongo saana sijui ni dt ngani huyu. Juzi nilimuona eatv anaongea kusema halipo kuwa arusha aliona watu wanapewa hela na watu lowassa kwanza nimuongo sana.mimi mwenye nilimuona alikuwa amekaa kwenye baa moja inaitwa millstone alikuwa anajifichaficha huyo mimi namwambia haache uongo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    Mtoa mada kumbe Hana akili kabisa nampa mfano tu nchi ya jirani kenya sasa hivi wametoka kwenye nchi za ulimwengu wa tatu.bila mabadiliko ya mwaka 2002 kufanya kenya tungekuwa sawa no mfano mdogo tu zipo nchi nyingi sana usiwapotoshe watu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    Acha huongo wewe mtoa mada unatapatapa tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Hata filisika huyo sio siasa ya tz watu ambao wamemshauri wamendanganya au anatumia hela ridhiwani
Back
Top Bottom