CCM ni mtoto aliyekengeuka kutoka kwa mama yake TANU na bibi yake TAA. Tanu na Taa vilikuwa na mvuto wa kuwafanya watu waheshimu, kutukuza, kukivumilia na kupenda kwa kila jambo lililofanywa na wazazi wa ccm.
Leo hii CCm ameota pembe, amejiinua shingo juu na antaka atambulike kuwa yeye ndie...
Ooh no! It's just poli-technics, the man has expired in the battle of competence and now he is trying to natch the angle of charisma for which people will come with the mercyface over him. Let hi go, we still have pure guys in de party.... think of all we can say they are president material...
Mimi mwalimu wa sekondari mpanda wasichana (mpanda girls) niko halmashauri ya mji mpanda mkoa wa katavi, huku kwetu saana, atakaekuwa tayari kubadilishana nitamgawia na heka moja ya ardhi ambayo ni kilometa 7 kutoka centre na ni 2km kutoka mji unapoishia. tuwasiliane kama utapenda eneo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.