Kwenye siasa hakuna hali ya kudumu,Leo upo chama tawala saidia kutengeneza mazingira mazuri ya siasa.Hujui hatma yako IPO siku utakuja kujikuta upo upinzani,utaanza kulia na tume haiko huru,katiba mbovu .Mjifunze kutoka kwa watangulizi wenu.Usauri ni huo.
Anayekakiwa kukabidhi kijiti cha Urais anapopanda jukwaan na kumponda mgombea wa mlengo tofauti,hivi anakuwa yupo tayari kumpa kijiti yeyote atakayeshinda,ukizingatia Uhuru Wa tume unatia shaka?
Kwenye ofisi yetu tuliomba hiyo kazi tukiambatanisha na ushahidi Wa vivuli kuwa tunaujuzi Wa koomputer,wote tulio na sifa tuliachwa wakachukiliwa ambao hawajawahi kuzitumia wakaelekezwa,herufi inatafutwa kama keybord imekosewa.
Walimu tuliopandishwa vyeo juni 2014,tunaombwa tukutane tare he 28/01/2015 Ofisi ya Mkurugenzi Wa Jiji,SAA 3:00asubuhi.
Kuna habari zenye uhakika kuwa sababu ya kutobadilishiwa Mishahara hadi Leo ni kuwa maafisa utumishi Wa Jiji wanarushiana mpira jukumu la Kutuingiza kwenye payroll system,kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.