Recent content by MWALIMU DAIMA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Maskin tu Wana Maisha gani madaktari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Hizi ni chuki tu, madktar kibao Wana madeni kama yote mitaani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    We jamaa una matatizo kweli aisee, sasa hao madktar wanao lewa hadi wanajikokolea vip wao?? Hao manes wanao liwa kimasihara night shift he?? Acha chuki
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

    Acha kubeli mkuu, nenda duce, muce, must, sua, na udom wanafunzi wa hii taaluma 99% are best one wengi Wana div one and two advance
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Zitaje hizo Haki??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Tulia mambo mazuri yanakuja.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Kaka tutalipwa mbinguni huu ni wito kaka, najua hii kazi ni ngumu lakini haina jinsi, muhimu turidhike tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Wewe roho inakuuma nn kulipwa Ivo??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

    Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu? Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana. Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Iv Kuna watu wanafanya Mambo ya hovyo kama madktar, manesi, ma injinia?? Acheni chuki na roho Mbaya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Huyu jamaa anajiita mpwayungu village anakera sana, Iv wewe Mpwayungu village Unajua shida na tabu za ma nesi, na watu wenye taaluma mbalimbali ambao ni watumishi wa serikali? Lakn umekuwa mtu wa ajabu sana unadharau walimu na kuwaona kama wao ni wajinga. Acha mara moja hii tabia yako mbaya. Na...
Back
Top Bottom