Recent content by mwakyejo

  1. M

    Andiko la Thadei Ole Mushi lilivyonifikirisha

    Kwani kuna mtu anajua atakufa namna gani? Kifo kisicho cha kizembe kikoje?
  2. M

    Andiko la Thadei Ole Mushi lilivyonifikirisha

    Kwani kuna mtu anajua atakufa namna? Kifo kisicho cha kizembe kikoje?
  3. M

    Kwanini vikosi vya Palestina vilifaulu kuingia kinyemela katika maeneo ya Israel?

    Teknolojia inabadilika, na wao wame-advance, kipigo dhidi yao cha mara kwa mara kimewafanya wajifunze, ni uratibu wa muda mrefu alioufanya mshambuliaji, kiasi kwamba tahadhari zote walizichukua ndiyo maana wakafanikiwa.
  4. M

    Uasi umeonyesha Comedian Zelenskyy ni kiongozi zaidi, Putin ni mtawala tu

    Nikadhani ndege yake ilionekana akiondoka kabisa nchini mwake kumbe ni humo humo Russia!
  5. M

    Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

    Ndugu hayo mataifa yote uliyoyataja unadhani yanapumua kwa U.S.A? Yanatii maelekezo ya U.S.A, huko pia ni kuuzwa, hayana utashi wowote nje ya matakwa ya USA, ndiyo maana kote huko ulikotaja USA kasimika kambi kubwa za Jeshi lake, Kwa kifupi mataifa yote uliyoyataja yanaiabudu U.S.A
  6. M

    Kudanganya idadi ya askari waliokufa ni kawaida kwa Urusi

    Fanya wepesi tupate na idadi ya vifo kwa upande wa Ukraine.
  7. M

    Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Back
Top Bottom