Recent content by Mwakyambile4

  1. M

    Siku moja watasimulia ...!

    Pamoja na yote Magufuli ni mfia nchi yake,ameamua liwalo na liwe nchi na watu wangu kuwafungia italeta shida sana kwenye maisha yao maana vipato vya watanzania ndo kama hivyo vya kuokoteza na kuchakula kila siku ili wapate cha kuingiza mdomoni,,,ingawa kama huu ugonjwa utaenea shida itakuwa...
  2. M

    Tukiuza Boeing 787-8 tunaweza kununua Ventilator 9,245. Ila kwa sasa tumenunua moja tu toka mlipuko wa corona utokee

    Hii habari nimeiona kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku,,,mkurugenzi wa habari wa hospitali ya muhimbili amesema mwenyewe kwamba hiyo mashine imenunuliwa moja tu sasa sijui ilikuwaje hospitali ambayo imetengwa kwa ajili ya wagonjwa ambao muda mwingine wanakuwa wanahitaji hizo mashine...
  3. M

  4. M

    Tundu Lissu atoa video aliyotumiwa na wagonjwa wa Corona Amana kuonyesha hali halisi ya wanachokilalamikia. Manesi na madaktari hawapo

    Kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana kwenye hii nchi, hasa kwenye ku-handle hili tatizo na ikitokea watu wakaliona hili hata akijisikia dalili za ugonjwa wa Corona hataweza kuja kwenye hospital zenye huduma mbovu kama hii. Nilihisi tu kwamba baada ya Rais kusema kwamba inawezekana Barakoa...
  5. M

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Ni mipasho tu,hakuja cha maana kinachojadiliwa. Anaanza kumsifia magufuli,anamsifia waziri Biteko,anakisifia chama chake cha ccm,anawaponda wapinzani baada ya hapo anaunga bajeti kwa asilimia mia moja. Hao ni,Msukuma na mbunge wa kishapu. Hatari sana kuwa na wabunge wa aina hii
  6. M

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Jana nilikuwa nangalia bunge la Tanzania kwenye mjadara wa wizara ya Madini kwa kweli kinachofanyika huko ni maajabu ya karne hii nchi. Nimeamini kwanini tuko hapa tulipo. Shame on them all
  7. M

    Waziri Mkuu Majaliwa kwenye Corona Mdhibiti Makonda, Ni jambo linahusu uhai

    Kwa kauli yako unaunga mkono watu wavae vitambaa na vipande vya kanga kama vizuizi vya virusi vya Corona? Basi hii nchi kuna ombwe kubwa sana na ndo tatizo la kila kitu kikuhusisha na siasa kinzani za uccm na uchadema. Tuna safari ndefu sana
  8. M

    Waziri Mkuu Majaliwa kwenye Corona Mdhibiti Makonda, Ni jambo linahusu uhai

    Kwanini hili suala wasiachiwe wataalamu,,,kwanini tumekuwa sisi tu hatutaki kufuata taratibu za kitaalamu,,tufuate ya nani kama mwanzoni tuliambiwa na serikali hii hii kwamba wasemaji wakuu wa suala hili ni Waziri mkuu na Waziri wa afya sasa anapojitokeza mtu mwingine kuliseme a hili jambo...
  9. M

    RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Kenya kuna msemaji mmoja tu wa hili suala la Corona ambaye ni waziri wa Afya na ni mtaalamu kwenye hii sekta ya Afya,hivyo akisema kitu kinazingatiwa maana watu wanaamini kuwa mtaalamu wa suala huaika amelisema hilo jambo. Huku kwetu tuna wasemaji wasio idhinishwa na mamlaka husika hivyo imekuwa...
  10. M

    Hadaa Mpya kwa Watumishi wa Umma Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kama ni kweli ccm watakuwa wamecheza mchezo mzuri sana nahisi wafanyakazi wote KURA itakuwa kwa CCM hata kama hawatapiga kampeni
  11. M

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Shida ipo kutikana na uelewa was viongozi wetu na wananchi wa nchi hii,,tuwashinikize hawa viongozi watende sawasawa na hitajio la wananchi,,ni aibu kusikia kila siku kwamba huyu kaunga JUHUDI mara huyu kalipwa million mia tatu kama kishawishi cha kuhama chama kwenda kuunga juhudi. Tuwekeze...
  12. M

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Sisi tunaweza siasa za kukomoana tu basi mengine sio kipaumbele chetu kabisa,,kuendesha nchi unahitaji mikakati thabiti sio longolongo za akina Polepole and the like
  13. M

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Watanzania tusilizike na matamko ya wanasiasa kwamba serikali inatoa elimu bure,,tujiulize je!elimu bure hii inayohubiliwa na hawa viongozi inamuandaa mtoto kuwa nani?kwa maarifa yepi? Inamfanya awe mshindani duniani au Watchers ya kile kinachoendelea duniani? Watanzania wanasiasa sio rafiki...
  14. M

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Awamu ya kikwete alianza kuwekeza kwenye TEHAMA hasa kwa walimu kwenda kujifunza kwa njia ya semina na kwa shule kuletewa Kompyuta nyingi zaidi,,lengo lilikuwa kila shule lifundishe SOMO la kompyuta kwa kila mwanafunzi lakini baada ya awamu hii ya kizalendo kuingia program zote za mafunzo kwa...
  15. M

    Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

    Mkiambiwa Tume huru ya uchaguzi mnakuwa na kigugumizi,,,,kama mnapendwa wekani tume huru muone moto wake huku wananchiwamechoka kimaisha mnambiwa
Back
Top Bottom