Recent content by Mwaky shola

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Asante jingalao
  2. M

    JamiiForums Tanzania NCCR, CUF: Hatutapiga kura kwa UKAWA

    Na bado wataelewa sana tu kuwa wali ingizwa mkenge
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wajinga ndio waliwao, wakati wabunge wa chadema wakichekelea kwenye magego, wa CUF na NCCR waduwaa

    Unenayo sawia kabisa ukijitambuwa huwezi shabikia ukawa hata kidogo,hao NCCR,CUF na hao wengine wapo tiamaji tiamaji wameshamezwa zamaaaani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Mungu amlaze mahala pema peponi aminiii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili CHADEMA na UKAWA watakataa matokeo ya Urais

    Hawana jipya hawa ukawa hawajui waendako na watahangukia pua kweli hiyo October 25 tuombe uhai tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Kipindi hiki cha uchaguzi tunatakiwa kuwa makini sanaaaa la sivyo utaozea segerea bureeee
Back
Top Bottom