Recent content by mwaklishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote

    Mimi nakubaliana na kibamba,watanzania hatujatembea,alafu tunapenda ushabiki bila kuchanganua na kupambanua mambo hata kwa kulinganisha na wenzetu,Magufuli tunamsifu mno,mm sioni tofauti yake na wengine,maana barabarani anazotengeneza sio bora kabisa,foleni Dar ndio usiseme.Watanzania kwa kusifu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Hongera,lakini tunahitaji kuona akishughulikia haraka wale wote waliohusika na operation tokomeza ujangili akiwemo Said Mwema.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    No.4. Kifo cha Nelson Mandela Sababu: Ni kifo kilichowakutunisha marais wa nchi nyingi kwa pamoja akiwemo Rais wa Marekani na wa China Mazishi yake yalisikika duniani kote kwani alionekana kama mtu ambaye alileta ukombozi sio tu Afrika kusini bali Afrika nzima. Nelson Mandela alikuwa ni mtu...
Back
Top Bottom