Recent content by mwakimonya

  1. mwakimonya

    Hivi ni kweli hizi ni shule za vipaji maalum?

    umesoma shule gan kwanza ???
  2. mwakimonya

    ULIZA CHOCHOTE KUHUSU MUHIMBILI UNIVERSITY

    una uzungumzia u superior katika namna gan ??
  3. mwakimonya

    ULIZA CHOCHOTE KUHUSU MUHIMBILI UNIVERSITY

    kuna hostel za aina mbili main campus na chole campus main campus kwa mwaka 140,000 chole campus 120,000 main campus upangwa mwaka 4 na wa 5 chole campus ni kwaajili ya mwaka wa 1 na viongozi na foreigners
  4. mwakimonya

    ULIZA CHOCHOTE KUHUSU MUHIMBILI UNIVERSITY

    hapana hawatoi hyo course both institute na university
  5. mwakimonya

    ULIZA CHOCHOTE KUHUSU MUHIMBILI UNIVERSITY

    hii ni special thread kwa mtu yoyote anae taka kujua chochote kuhusu chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili karibuni
  6. mwakimonya

    Makosa 4 aliyoyafanya Harmonize mpaka sasa

    inaweza ikawa kama watu wana hisi ni jambo la kawaida lakini ukiangalia kwa makini alichofanya harmonize ni moja kati ya worst move kibiashara..uwa tuna jiachia taratibu taratibu huku tukiendelea kumfilisi boss kuliko kuamka na kwenda kuanza maisha mapya akati unalala nyumba ya ofisi na gari la...
  7. mwakimonya

    Hamisa Mobetto achana na kuimba, kipaji hicho huna!

    Nani ana namba ya Hamissa Mobetto au mama Dylan kama anavyoitwa na Nasib Abdul, mpigieni mwambie tunajua maisha ya mtanzania yamekuwa magumu sana sema aache kuvamia kazi za watu. Maana anachoimba ni jina lake tu ndo linafanya watu wasikilize bila hvo nazani ni trash music ambao haustahili hata...
  8. mwakimonya

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    Braza kunywa viroba ...mi ntalipia popote ulipo na jela ntaenda kwa niaba yako
  9. mwakimonya

    Harmorapa Fans' Special Thread...

    Hyo mfate kwnye matukio tu ..utampata
Back
Top Bottom