hahaha! mkuu hii laptop yangu hata kwa laki moja hununui imechoka sio kitoto natumia kiswaswadu sio smartphone, angalau napunguza mawazo na kujifunza kupitia hii laptop nzee, Binafsi najiona napunguza mzigo mkubwa sana na kujifunza mengi ninapoingia JF nikipata nafasi. Pia inawezekana nina...
kweli mkuu mapambano yanaendelea najua wapo wenye changamoto kunizidi, ninaamini kuna mtu aliyekaribia kukata tamaa kwa kusoma huu uzi atasonga. tutatoboa mungu mwema.
asante sana mkuu kwa ushauri, binafsi sijisifu lakini najitahidi kutoa kadri ya uwezo wangu sijawahi kuombwa msaada na mtu yeyote nikaacha kumsaidia kama nina uwezo, nitajitahidi sana kuongeza
Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
Je ni biashara gani ulikusudia kuifanya lakini ukaahirisha kwa sababu kuna mtu alikuambia haifai kufanya na ukaua ndoto zako milele? Watu wengi wanakutana na wauaji wa ndoto kila siku na bahati mbaya sana ni wachache wanaofanikiwa kuwakwepa na kuendelea kufanya kazi ndoto zao.
Umepata wazo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.