Ninao ufaham wakutosha kuhusinaa na madini ya vito hcho mzee ulicho kishika hakiitika ktk familia ya madini ya mawe, na Kama nijiwe BAC limetoka Lad hilo
Wadau habari zenu very soon nitafungua mgodi wa sunstone naomba sana support ya mawazo kwa wazoefu/ wanaofahamu kwa kina kazi hii inavyokwenda. Asanteni Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.