Recent content by mwakandenda

  1. M

    Msajili: Chama chenye vurugu kama chadema kitazaa serikali yenye vurugu

    kama vurugu za CHADEMA ni za kutimua vibaraka na wahujumu maendeleo ndani ya chama kwa hakika ni bora vurugu hizi ziingie madarakani zitasaidia kutimua wale wanaowasaliti watz kwa kula pesa za wananchi ktk halmashauri kuliko chama chenye utulivu wa kulinda wabakaji,wauaji,wauza madawa ya...
  2. M

    Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

    Wadau, nimekuwa nikifuatilia mgogoro unaondelea ndani ya CHADEMA baina ya maamuzi ya kamati kuu ya chama hicho dhidi ya ZITTO KABWE, jinsi unavyokiweka chama hiki katika wakati mgumu. Upande wa pili ni vile CCM wanavyotumia nafasi hii kuwashawishi wananchi waamini kwamba mgogoro huu unaoendelea...
  3. M

    Kuna msemo wa 'Kosa moja halimfukuzi mke' Vs kutimuliwa kwa Zitto na Wenzake.Je, ni sawa?

    Busara zimekwisha wekwa katika katiba,sheria,kanuni na miongozo ya chama. Hivyo suala hili litamalizwa kwa CHADEMA kufuata sheria walizojiwekea pasipo kempendelea wala kumuonea mtu.
  4. M

    Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    Ooh kumbe sio uwanachama na kuzipenda kanuni na miongozo, itikadi na malengo ya chama bali ni upenzi wa watu.Tz kazi ipo.
Back
Top Bottom