Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha CHAUMA,Michael Kilawila na kuharibu gari la mke wake kwa kupasua kioo cha nyuma.
Tukio hilo...
Naandika kuwataka viongozi wa CCM moshi mjini mwenyekiti wangu wa wilaya mzee Faraj Swai,chukueni hatua kwa makada hawa wawili Juma Raibu na Gadafi kuchapana makonde ndani ya ofisi ya chama.
Wawili hawa walizozana wakati zoezi la udhamini likiendelea kwa mgombea wa chama cha mapinduzi Jimbo la...
Mwanza ipi unaizungumzia mangi Mushi ambayo unataka linganisha na manispaa ya Dodoma iliyopewa hadhi ya kuwa Jiji kwa vile ndiyo makao makuu ya nchi?,hebu lala uote tena mangi Mushi
Kimei aliahidi kuboresha masoko makubwa matatu jimboni kwake,soko la Himo,soko la mwika na soko la marangu mpaka loe hakuna alichokifanya kina mama wanauza mazao chini na nyakati za mvua wanauza chini kwenye matope,aliahidi kuwawezesha vijana mpaka leo ni ziro,anatafuta nini tena huyo mzee huko...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.