Recent content by Mwajuma Mmbaga

  1. M

    Wanabishana Kenya kama watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya urithi

    Ni vyema kila mwanandoa awe makini na mali zinazotokana naye mwenyewe kwa 100% usiziandike kama za wanandoa kwani umalaya wa mwenza wako unaweza kukugharimu na kufanya mali zigawanywe mno hadi wanao wakose haki zao. Zaa dunia nzima uwezavyo ila hakikisha hutumii jasho la mtu mwingine kuwapa...
  2. M

    Msafara wa ndege za kivita za Marekani waelekea Mashariki ya kati baada ya Trump kutoa agizo la dharura raia wa Iran kuondoka Tehran, foleni imeshona

    😀😀😀😀😀 nikajua mie na ujinga wangu. Si wamwage hiroshima 3 Marekani NYC, Pale Israel 5 hivi ili wachukue siku 3 kuhudumia wananchi Iran wapumzike?😀😀😀
  3. M

    Nyumba inauzwa Mil. 20 chap!

    Ulipata mteja? Kama bado ni inbox.
Back
Top Bottom