Hapa hujanitendea haki kijana, umenitusi bila sababu yeyote ile ya maana. Napata shida kujua hasira hizo zimesababishwa na nini hasa, inafikirisha sana
Kwenye punyeto kuna jinsia ngapi zinahusika? mimi naona ni moja, wewe nitajie kama kuna ya pili. Alafu pale maumbile sio ya kawaida , je nikisema ni kinyume na maumbile nimekosea wapi?
Wewe ukisema takataka unakua unakosea! nieleweshe ni kivipi nimekosea? kwenye punyeto jinsia zinazohusika ni ngapi? nitajie ya pili, mimi naona moja. alafu sio maumbile yale yakwaida ya kujamiiana, sasa nikisema kinyume na maumbile ya kawaida nimekosea wapi? nisahihishe basi
Wadau,
Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
Huu uzi umeshakua wakijinga sasa.....ile ladha yote imepotea.....Hii thread imecement na kuconfirm kua jambo hata liwe zuri vipi...kama halina utaratibu na defined process flow linageuka kua lakijinga. Hata demu....hata demu awe mzuri vipi na tako kubwa kiasi gani...kama hana akili na utaratibu...
Unavyozidi kujitetea ndio unazidi kuonekana kichwani kumejaa kinyesi laini badala ya ubongo. Kubali tu ulikua hujui kua mayor ni diwani tu...kwa ushamba wako ulikua unajua ni Rais sijui...alafu kwani inashindikana nini mwenye cheo ku date chokoraa...wewe mbona unaliwa na mashamba boy na una cheo
Sikutegemea kama uzi wangu best for 2021 so far utaishia kuniudhi kiasi hiki, wewe konda msafi hujui ni kiasi gani umetuletea huzuni kubwa...watu tangu alhamis hatuongei na wenza wetu juu ya huu uzi, alafu unaukata kihuni namna hii....ni kweli kua unachukua muda mwingi wakwako lakini unaweza...
konda msafi hebu tueleze ukweli kua hiyo episode inayofuta unatupia leo saa ngapi? au kama i kesho useme. Hivi sasa ni saa nne karbu na nusu usiku, tangu alhamisi nimenuniwa na wife kwasababu ya kushikilia simu masaa yote nikifatilia huu uzi. Nimeshaamua wikiend hii siongei na simbembelezi boya...
Hii story ya Khumbu itanivunjia ndoa yangu wazee....nimeanza nayo ofisini ,wife kaipitia ofisini kunipick twende home nimemwambia anisaidie kudrive ili niendelee kusoma habari ya khumbu....nimeingia home, nimeoga fasta,nimekula kaa ushahidi tu kuepusha maneno na wife nimekamata simu natafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.