Recent content by Mwaisongo ZeDON

  1. Mwaisongo ZeDON

    Zingatia haya machache katika mengi ili biashara yako iwe na mafanikio

    Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kukusaidia ufanye biashara yako iwe na mafanikio, kama vile: 1. Kufanya utafiti wa kutosha juu ya soko na washindani wako ili uweze kubuni bidhaa au huduma ambazo zinakidhi mahitaji ya wateja wako. 2. Kuwa na mipango thabiti ya kibiashara, pamoja na bajeti...
  2. Mwaisongo ZeDON

  3. Mwaisongo ZeDON

    Je, unaweza kutoa ushauri kwa mtu asiyehitaji kushauriwa?

    Wakati mwingine tunapitia changamoto katika maisha ambazo zinaweza kuwa ngumu sana kushughulikia, hata wale walio karibu nasi wanaweza kutoa ushauri ambao haufai. Hata hivyo, tunapaswa kuwa wazi kwa ushauri wowote wa kujenga kutoka kwa marafiki na familia zetu na kujifunza kutoka kwao. Ni...
  4. Mwaisongo ZeDON

    How to raise capital for startups business[emoji780]

    Muulizaji siku zote ni kujua ndio dhumuni, pale tu mtu mjuzi anapotoa jibu pengine linakuwa msaada kwa wengine kupata kujua. Tatizo mtu ana judge kwa kutumia level yake ya akil kwa mtu mwingine…hapo unakuwa umechanganya pilipili na tende kutengeneza achali.
  5. Mwaisongo ZeDON

    How to raise capital for startups business[emoji780]

    Mpambanaji katika jambo lake lolote likasimama nadhani anamajibu mazuri zaidi na mifano mingi katika kulielezea jambo husika…[emoji1431]
  6. Mwaisongo ZeDON

    How to raise capital for startups business[emoji780]

    Tusaidiane hapo ndugu zangu, kila mwenye mawazo tofauti…[emoji101][emoji101][emoji101]
Back
Top Bottom