Recent content by Mwahija abour

  1. Mwahija abour

    Shule au chuo kipi ni sahihi kwa matokeo haya

    Habar zenu ndugu zangu. Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena...
  2. Mwahija abour

    Hana ufaulu mzuri je, nimsaidieje ili apate elimu zaidi?

    History.. F Kiswahili.... C Civics......... F English...... C Math......... F Phy........... F Chem....... F Geo.......... F Islamic..... D Bio........... F Yani hup ndo ufaulu salio nao je anaweza pata chuo
  3. Mwahija abour

    Hana ufaulu mzuri je, nimsaidieje ili apate elimu zaidi?

    Habar zenu Jamani naombeni ushaur, naishi ma mtot Wa dada angu. Amemaliza kidat chat nne mwaka 2017 na mwaka jana akaitaji kurudia, alopo rudia matokeo hayakua mazuri tena Ila hakukat Tamaa, kusema atafer hivyo mwakaa huh amekaa nyumbnna na anasema yupo teal kurudia tena shule. Je nimsaidie...
Back
Top Bottom