Recent content by mwaghe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nimecheka kwa maumivu so nimeandika kizuchuzuchu aya bwana asante
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Mungu afungue njia tulipe aisee unaeza fia usingizini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Ila nikipata hata nafas ya kufanya usafi tu kwenye company yoyote ntashkuruu sanaa nimechoka kuwa jobless biashara zimekufa na madeni juu an ukiwaza kwa sauti unaeza nielewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Situmii hivo vituu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Aisee hata chuo sikufanikiwa kusoma bro Mungu akisaidia mbele ntajisomesha nilikua nafanya biashara zangu nazo zimemufa saiv nipo tu ila najua computer
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Naomba connction hyo unisaidie nipate chochote kitu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Madeni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Ni mimi kabisaq imebaki tu mimi mwenyew kupotea only 3mounth
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Nisaidie connecton
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Ni ngumu kumeza tupo tu hap wengine ni jobless no biashara no ajira ni kula kulala inaumiza ila ngoj nisome comment tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Ikiendelea naomben mni tag
  12. M

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Issue unakuta hata sehemu ya kupambana upate chochote kitu inabana aisee skia tuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Kuna wakati akili inagoma inafulumia tu huon hat wapi ukapambanie ili utoboe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Aisee nyamaza hii issue mpak ikufike ndo waweza elewa but [emoji24][emoji24]ni huzuni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Najutraa mwenye connection yoyote hata niwe mlinzi kwenye nyumba yake anisaidie nilipe maden ya watu nahitaji aman tu ya moyo wangu nimechoka
Back
Top Bottom