Recent content by Mwagabona

  1. Mwagabona

    Viwango vya mshahara vya TNPSS ndio vikoje?

    TNPSS E ? ni kiasi gani?
  2. Mwagabona

    Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    Unaongelea jkt ya kwenye makaratasi hujui kitu ww
  3. Mwagabona

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Leteni lonja za usahili Uhamiaji maana majina yasije kutoka alafu mkaanza kuuliza maswali yanakuaje....ombeni Uhamiaji Mwaka huu naskia wanachukua wengi
  4. Mwagabona

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Simu bado wakuu bogi mwezi wa tatu huko Askari 3elf...kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa
  5. Mwagabona

    Ajira za TISS hutangazwa wapi?

    Kozi yao inaanza january
  6. Mwagabona

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kozi wameanza leo wew jipe moyo....subiri mshati mwakani
  7. Mwagabona

    Nafasi za kazi za Uuguzi Saudia

    Mkipata sjui
  8. Mwagabona

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nafkiri maana bado hawaja anza
  9. Mwagabona

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozi
  10. Mwagabona

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wapo msata wanataka kuanza kozi ya refresh
  11. Mwagabona

    Maswali gani yanayoulizwa katika nafasi ya Committee Clerk (Katibu wa Kamati Daraja la ll)

    Habari wakuu, Naomba kusaidiwa kujua maswali muhimu yanayoulizwa kwenye nafasi tajwa hapo juu. Kiukweli hii ni kada ambayo siifahamu vizuri ila akitokea wa kunielewesha na kunipa namna ya interview zao zinakuaje naamini ntaleta ushindani. Shukrani
Back
Top Bottom