Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna matoashi wa kuzaliwa na kuna matowashi wa kutengenezaa lakini hayo yote yalianzia mbalibasi...
Ni siku nyingine tena mpndwa nafasi nyingine ya kushukuru Mungu kwa uzima tuliopewa pamoja na kwamba tupo katika shindano lakini kipaumbele ni kusaidia jamii zetu zinazo kumbwa na matatizo mbalimbali ni nafasi hadhimu tuliyo pewa na Sir God tukawezeshwa na jamii forums nguvu tunayo uwezo tunao...
Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi anataka hii ni hatari kwani kwani waandishi ndo watu pekee wanao weza kubadili uongo uonekane kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.