Recent content by Mwafrika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Mbowe kasema kuwa CDM wanaongoza Nimeanzisha uzi Ila mod wameufuta
  2. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Wanashirikiana na mods wa forum Hii na ndio maana Huu uzi Upo hapa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Kuna topic kumhusu bado ipo Ila ya Mbowe imefutiliwa mbali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Mods wa jf Hii topic Ina tofauti gani na ya kwangu mliyofuta?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Hii topic bado ipo Wakati zingine zinafutwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Mbowe kasema CDM inaongoza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Molemo tafadhali sana jumamosi uwe hapa ili kutoa updates za mkutano wa ukawa ikiwezekana wewe au Ocampo four muanzishe thread hiyo kinyume cha hapo wenye viherehere vyao watakuwa hapa wataanzisha uzi kisha utadoda bila updates zozote
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kushinda, kwanini nasema hivyo

    Makufuli na ccm ni janga la kitaifa kama dengue, kipindupindu na ebola ... combined
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    ha ha ha bure kabisa
  10. M

    JamiiForums Tanzania John Magufuli ni mweupe kwelikweli, sijui huo urais aliwaza nini kugombea!

    makufuli na ccm ni janga la kitaifa kama ebola, dengue na kipindupindu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    mhhhh kazi kweli kweli tumefika huku?!?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Exactly Juliana ni mnafiki tu kama mafisadi wenzake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    haha ha ha mbavu zangu mie
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

    Huu ni ukweli kabisa ccm haipendwi na hilo ni wazi kabisa ila ninaelewa kuwa hii mada yako itafutwa au itaunganishwa na mada za mwaka 2007 muda si mrefu ujao
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya Dr. Magufuli, Dar es Salaam (Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo, Kinondoni)

    bado ninahesabu dk kabla huu uzi haujafutwa na mods
Back
Top Bottom