Search results

  1. M

    Habari kuu ya mwaka 2008

    No mkulu, Sakata la Masha dhidi ya Mengi ni kubwa mno na kwa vile Masha ameingia mtini baada ya kukumbana na big tyme neg pub opinion, hiyo tu hailifanyi hilo swala kuwa dogo. Masha na mafisadi wenzake walitaka kuziba mdomo wa magazeti mahiri ya Thisday na Kulikoni kwa vile yameendelea...
  2. M

    Magreth sitta nae kaanza!

    neah, kabla sijafika kwa wananchi wote, ninaanzia pale ambapo tatizo limekubuhu na kuelekea kwenye udonda ndugu (kansa?) ambako ni ccm ya Kikwete, Makamba, Rostam Azizi, Manji, Chenge (tume ya maadili ya ccm?) nk
  3. M

    Magreth sitta nae kaanza!

    CCM wote wameoza kuanzia Kikwete hadi kwa balozi wa nyumba kumikumi. Hii nguvu na kibri ya kutoa rushwa waziwazi wanaipata kwa Kikwete mwenyewe na si kwingine kokote kule.
  4. M

    Habari kuu ya mwaka 2008

    Kubwa ni ile ya Kikwete kumtumia waziri wake fisadi aitwaye Karamagi kusaini mkataba wa madini hotelini, kulikopelekea wabunge wa ccm kumfukuza Zitto bungeni, kupelekea viongozi wa ccm kuzomewa nchi nzima, na kupelekea Kikwete kuunda kamati ya usanii ya madini baada ya kutoa hotuba ya masaa...
  5. M

    Shule Yafungwa Kwa Kukosa Chakula

    Ukiona serikali inanunua magari ya fahari 700 wakati shule zinakosa vyakula, basi ujue kuwa kuna tatizo somewhere between serikali iliyoko madarakani na wapiga kura walioiweka serikali hiyo madarakani. Na bado kuna mtu anatumia muda mwingi kutaka kujua ni kina nani wanaandika hapa JF badala...
  6. M

    Kuhusu Joseph Mungai

    Kama fisadi Mungai ni mzee wa Totos dogodogo kuku wa kienyeji, ina maana yeye ni nguruwe mwitu?? ......
  7. M

    A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

    hii thread imenikumbusha signature ya Mwanakijiji ... Usipowajua adui zako ... utapigana na rafiki zako (nimeparaph so dont sue me mkjj)
  8. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Kama mafisadi wengine waliomtangulia (Manji, Lowassa, Rostam Azizi, etc), Masha ameshindwa kufanya chochote dhidi ya Mengi hata baada ya kutoa vitisho vya siku saba kwa hasira na mikiki mingi. Kwa mara nyingine, dozi kubwa aliyopata hapa JF imemfanya arudi nyuma na kuacha magazeti mahiri ya...
  9. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    .... whistling .........
  10. M

    Maofisa habari waonywa kwa kuuza siri za serikali

    Kichuguu, Kuna mambo ambayo inabidi kuwa siri (yaani kuna mambo huwa mimi sitaki kuyajua kabisa) ila mambo mengi yanayosemwa au kufanywa na viongozi wa serikali sio siri na hayafai kuwa siri kabisa.
  11. M

    Hold your comments (angalia usitoe maoni)

    ohhh .... my laaaaawwwwwdddddd ...... Wewe Mkjj unataka balaa...... umekunywa nini leo?!
  12. M

    Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

    Ngabu....dont worry coz monkeys do the fluting ...... and that speaks louder than big boxer.
  13. M

    Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

    Masha ananionea wivu mimi na sio the other way around. At the age of 24 ..... ninalipwa mshahara mara kibao zaidi ya mshahara halali wa Masha. Nani anamuonea wivu mwenzake sasa.... hey .. nani ana wivu? Masha akirudisha pesa yote ya kifisadi aliyoipata ..... kwa wizi wa pesa za serikali na...
  14. M

    Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

    Ngabu, Mimi ni mmoja wa wale wanaokubaliana na mengi unayosema hapa.... I am your biggest fan ....... mmmmwwwwaaaa .... mmmmmcccchhhwaaaaa
  15. M

    Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

    Neah... Hakuna beef ila for a moment ilionekana kama kuna something going on kati ya watu muhimu sana hapa JF.
  16. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Ushauri mzuri sana Mtanzania, Kwa upande wangu sijaona wide spread ugomvi kwa watanzania wa USA. Hapa watu wametapakaa sana na US ni kubwa kwa hiyo ni vigumu sana kwa mafisadi kusambaratisha watu. Kama watu wa NY wakigombana, sisi wengine San Francisco, ATL, Chicago na kwingineko bado...
  17. M

    Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

    yaani we acha tu, Hapa hapewi breki... unajua madikiteta wanaaanza hivi. Wanaanza kwa kufungia magazeti na baadaye utasikia wamefunga vituo vya TV na kisha kupeleka watu Siberia kwa makosa yasiyojulikana. Masha asikilize ushauri anaopewa la sivyo hiyo ndoto ya uraisi aliyonayo itaisha...
  18. M

    Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

    Just wait for the tone .... message itaachwa hapa wazi and clear. Huyu Masha ni fisadi na haya mambo ya kutoa siku saba yamevuka kipimo cha kawaida cha uvumilivu. tik tak tik tak tik tak .......
  19. M

    Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

    wao wakijua hili.... wajue kuwa.... yao mengi yanajulikana. Na tatizo lao, wengi wao ni walevi na wagoni kwa hiyo ni rahisi mno kuropoka siri zao. Kuhusu kufanikisha zoezi lao.... naweza kusema kwa hakika kuwa wengi wao wameanguka mtihani... na kama kuna walichojua, basi ni kile ambacho...
  20. M

    Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

    Masha ni fisadi na kuhusika kwake na ufisadi ni jambo ambalo nimekuwa nalisema toka wakati ule wa issue ya mwanahalisi na pia wakati wa issue ya Ridhiwani Kikwete na kampuni la kifisadi la IMMA (IMMMA). Ugomvi wa Masha dhidi ya Mengi ni kwa sababu Thisday na Kulikoni wameendelea kushika bango...
Back
Top Bottom