Recent content by Mwafricani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya afisa utawala yanakuaje?

    Ni goverment kk, utumishi wa mahakama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya afisa utawala yanakuaje?

    Jamani mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadilisha cheti Ajira Portal

    Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira Portal. Nimeweka cheti ambacho hakiko certified. Sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na edit basi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajira portal

    Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣
  5. M

    JamiiForums Tanzania Online inteview za utumishi

    Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Unasoma field ipi sasa duuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Afisa utumishi na Afisa tawala

    Wakuu tusaidiene anae fahamu maswali ya Afisa utumishi tafadhari amwagike tunifunze wote
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha msongo wa mawazo na moyo kushtuka

    Nisaidieni nini kinasababisha msongo wa mawazo mpka mtu anashindwa kusimamisha uume hizuriii
  9. M

    JamiiForums Tanzania COGNITIVE ASSESSMENT Report

    Wakubwaa habari za majukumu... Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee: Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee?? Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu shirika la MDH

    Mi niko napiga nao kazi niko mkoa wa Tabora sio siri hawa hawana longo longo kama uko vizuri, kwa anae jitolea kwa mwezi anapata mia Nne na nauli juu so kama una qualification hasa ktk issue za Afyaa we nenda ofisini kaombe kujitoleaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Hivi mazee ukimaliza kuomba no zote zikawa 100% na system ikasema maombi yako yametumwaa Tamisemi ...vip nikitaka kubadili inawezekanaa .?? Kwa mfano mie nimeambatanisha barua ya maombi na Cv je nikitaka kutoa natoa?? Au maombi yakitumwaa hayabadiliki??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Wazee na afisa ustawi wa jamii lazima asajiliwe?? Na barua ya usibitisho wa kazi kutoka kwa mkurugenzi kama uliwahi kujitoloea ni muhimu sana ..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Sio mbishi thinking capacity ya watu humu ni ndogo sana even reasoning hakuna watu wanajitamkia tu na nyie mnakubali....hakana email hata moja iliyo tumwaaa kuhusu kuendelea au kuto endeleaa aise zakuambiwa changanyeni na zenu....mtu from no where anakuambia mimi nilipata 70 nimeambiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Daaa humu ndani Assumption ni nyingi sanaa kuliko ukweli.... HR ni wengi kuliko maelezo.... To be honestly Assumption mtoazo zote hazina ukweli wowote ule zaid mnapeana mapressure na matumaini yasiyo na tijaa... My take.. Subirini mda na wakati mtajua tu...msijipe vyeo vya Marasilimali watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Sio kweli....kupeana pressure tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom