Ni vema kikwete akaangalia uteuzi wake wa Zakia na hata Nahodha. kwanini sheni hakumchagua huko zanzibar? Kwahiyo yeye hajaona watu wengine hapa Bara mpaka aka enda kuchukua Reject? Aacha uswaiba kwenye mambo ya maslahi ya Taifa. Hakuwa na sababu ya kuwachagua hao watu, kuna...
siungi mkono maandamano, Ila tujipange upya kuanzia sasa kuimarisha upinzani kwaajili ya 2015, ukizingatia vifaa tulivyopeleka bungeni ni vifaa vya kazi kwelikweli. CCM kwa ninavyowajua tukiandamana wakotayari kufanya lolote ili kuwaaminisha watanzania kuwa upinzani maana yake vurugu, machafuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.