Wadau mimi mgeni hapa JF, napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, uoga uliokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahau sahasu, hasira zisizo za lazima, maumivu makali ya mgongo, kupungua kwa uwezo wa ubongo kupambanua mambo, mwili...