Halafu kizazi hiki unapataje ujasiri wa kudharau mfumo uliokupatia fursa ya kuitwa nchi yenye amani na ukarimu??kwa kifupi sielew kwa nini unpoteza muda kukandia watu wenye uthubutu km jpm aliyeendeleza utamadun ulioanzishwa na watangulizi wake??tena ni uumini wa advance socialism kuna kosa...
Hao akina mbowe na tundulisu wana legacy gani??binadamu siku zote ana ishi na udhaifu hakuna atakayethubutu kusema jpm hakuw na udhifu ingawa n rais alielipenda taifa lake kwa dhati,sikufichi hakuna wino utakaopinga hilo.....usipaze sauti ili watu wakusikilize bali kuza utu wako kwan ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.