Mweshimia umeongea vizuri sana na jambo la maana pia. Lakini msimamo wangu uko pale pale.
Mimi navo sema ni hivi
NIDA NI SAWA NA VIFUTAVYO
-Uraia wangu
-Cheti changu chakuzaliwa
-Vyeti vya wazazi wangu na babu na bibi zangu.
Nisameheni kama mnaona sielewi.
Well acha nikurekebishe hapo kidogo kwa uzuri tu. The contry is not shithole. The country is a jewel ni zahabu in its own. Systems ziko in place but the people ambao wanatikwa kushughulikia hizo vitu ndioambao hawafai. Tusi laumu nchi yetu, tuwalaumu hao wanafanyia kazi. Naomba tusianze...
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. as mimi mwneye nipo kwenye department ya IT so naelewa hicho. Lakini kwani hicho kitambulisho chenyewe si kithibitisho tosha kuwa mimi ni RAIA kamili, na nimepewea hicho kitambulisha baada ya vyeti vyangu kuthibitishwa na kuhakikiwa na UHAMIAJI?
Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini?
Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo.
Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.