Recent content by Muyohza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

    Putin wanatafta mbinu za kummaliza ama Kwa kugusana ili AFE Kwa ile sumu ilomuua Ruge Mutahaba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Warusi ninyi warusi weusi mnamtetea huyo dictator
  3. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa wee! Nimeenda Kwa hiyo link ni kweli hili Suala kuna mkono wa Marekani , Alafu Biden anaongea taratibu Kama zezeta Kumbe anajua
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    😂
  5. M

    JamiiForums Tanzania Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

    Naona walikuwa wanapata degree wakiwa Segerea zao je huku unaweza pata degree ukiwa UKONGA kweli na ule uchovu wa kupasua kuni??
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Mmmm ngumu kabda upate wanaojiuza maana wengi wana watu wao
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Kwani nimekwambia nimeshindwa kushawishi wa picha? Hao ni wa picha tu hata sijui wako wapi
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Mke kutoka Ulaya akha si watamu nikwambie ukweli sipati feelings nazotamani kutoka kitu black
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Akishaingia Mikononi mwangu ndo basi tena
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Ntashukuru
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Kwakuwa kaona Migomba kwa pembeni ndo kaleta hii kuwa ni wife material
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Hao hao hao ndo nataka nasikia wanyakyusa wenzangu ni sura za Baba zetu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Haha
  14. M

    Mzilankende ndo wa wapi
Back
Top Bottom