Recent content by muyanja Orijino

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wakuu Hamjamboni. Nimeomba msaada Kwa tatizo la vifaranga kudhoofu miguu.Chakula Kiko fresh. Wapi ninakwama? Wana umri WA wki 6 Sasa.Msaada Tafadhari.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku

    Hamjamboni wadau. Naombeni msaada wa kitaalamu. Nina vifaranga wa kuku, wanasumbuliwa na tatizo la miguu. Wanakunja vidole vya miguu na kutembelea viwiko. Nini ufumbuzi!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ahsante Sana nimeipenda mada ya ufugaji kuku.
Back
Top Bottom