Habari ya muda huu wakuu. Nauza majiko ya MKAA, flampeni, jalo, naziba masufuria na kutengeneza, pia makalai ya chipsi ndugu.
Jumla Kwa wafanyabiasahar na rejareja pia. Naweza pia kufanya deliver Kwa nauli yako (kiasi cha alfu 2 ndani ya daresalaam). Majiko natengeneza mwenyewe Kwa teknolojia...