Recent content by Mutumututivu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

    MAELEZO YAAAKO YOOOTE NI KUJIHAMI KISIASA KWA MWAMBIGHIJA, TULIA ANAFAAA SANA HATA ASIPOFANYA HIYO HISANI YA KUDHAMINI NGOMA ZA ASILI, MTU MWENYE background YA KUJALI ASILIA YAKE ANANAFASI KUBWA YA KUJUA MATATIZO YA WATU KULIKO HUYO UMTAJAYE WEW...... MM KWETU MASUKULU KWA MAREHEM Jackson...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Only in Tanzania:Kilimo chatengewa bil 11 chenye 75% ya wanyonge ndege moja bil 495 Viwanda ni usanii kwa malighafi ipi?

    KUPANGA NI KUCHAGUA,.....,........... KWENYE UCHUMI TUNASEMA ........ "HUMAN WANTS ARE UNLIMITED WHILE SCARCE RESOURCES ARE LIMITED";. ........ AND THE SCALE OF PREFERENCE IS APPLIED.......... piga kazi mh. Rais ndo hawa hawa hata ukiwa unaogelea wanasema unawatimulia vumbi........... Bado...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera mbunge wa Mlimba kwa kuonyesha ukomavu mbele ya Rais

    Kwa Kwa kuibua hilo swali bila shaka ushajua uchanga wa siasa ni upi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    Ni ku- audit and control.... Lakini main source of government financial report ni wizara ya fedha(BOT) maana hao ndiyo wenye dhamana hyo sasa kama asipo taarifa ya CAG aija akisi baadhi ya taarifa kama ilivyowasilishwa na naibu waziri, nani hajafanya kazi yake ipasavyo???
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    CAG ndyo anaonekana kutokufanya CONCILIATION taarifa zake na taarifa za wizara ya fedha.......... HAYA MAMBO NI YA KITAALAMU SIYO YA KUYALOPOKA LOPOKA KWA HASIRA YA UGUMU WA MAISHA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    mejuaje CAG hajaambiwa???? Lakini hata asipoambiwa yeye si alimaliza kazi yake???? Alafu pia kwa maelezo haya inaonekana CAG pia hakutaka kuthibitisha hesabu zake na ripoti za wizara ya fedha kabla ya kuwasilisha report yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Ka Ni zipi kazi za maana kuliko anazozifanya???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Ka Ni zipi kazi za maana kuliko anazozifanya???
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais anafanya maendeleo sio maendeleo endelevu. Akiondoka vitakufa, Serikali haitakiwi kumiliki bali sekta binafsi

    Sasa unadhihirisha kuwa haujajua maana ya maendeleo endelevu na vigezo/visababishi vya maendeleo endelevu,,,,,,, Lakini pia kama utakuwa na takwimu sahihi ubinafsishaji wa sector za umma enzi za mzee mwinyi mpaka kuja kwa mkapa ndivyo vilivyochangia pia Tanzania kuwa hapa tulipo.......... Hivyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais anafanya maendeleo sio maendeleo endelevu. Akiondoka vitakufa, Serikali haitakiwi kumiliki bali sekta binafsi

    Reli ya aina gani tena??? Kama saizi tunajenga standard gauge??????
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Mbunge Godbless Lema(CHADEMA), Gabriel Kivuyo ajivua uanachama na kujiunga na CCM

    Hiyo ndiyo shida ya wanachadema..... Waswahili husema "ukivuliwa nguo chutama" lakini CHADEMA wanagangamala huku hawana nguo, poleni sana
Back
Top Bottom