Recent content by Mutu ya Pipo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa "kuombwa kugombea", Tunachezea hatma ya Taifa letu!

    Hivii hii muvi ya Lowasa Vs CCM imekaaje? Maana inaonekana ss mzee kaamua kupambana na chama waziwazi kw nguvu zote. Maswal y kujiuliza, Je akifanikiwa kuw Rais kina Nape na system nzima inayomkataa watapona? Na km hawatapona, Je ni kw manufaa ya taifa?Na kwa kuonyesha ubavu huu dhidi ya chama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutemwa kwa wamasai wote(baraza la mawaziri) nini tafsiri yake?

    Hivi karibuni Rais kafanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri, kilichonishangaza ni kuwatema waliokuwemo wamasai wote ilhali hawakuwa na kashfa zozote while akawaretain wale wote waliotajwa kuwa mizigo... Je kuna nn nyuma ya pazia kati ya serekali na wamasai? Mwenye jambo na atujuze...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Mkakati maalum wa ccm Kuendeleza sintofahamu ndani ya CDM..pengine wamerelease izo communications kwa makusudi ili kuihadaa CDM na kuchochea mabishano na mpasuko ndani ya Chama
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    Mkutano unaendelea everything iz perfect... Pipo kutoka kilakona wamejongea,hawajali mvua wala nini..those above who thinks "ni upepo tu" they should think again..its a movement, pepoles movement! Wameitwa wabunge wote wa mtwara wa vyama vyote,waje wapokee maoni ya wananchi na wawe wawakilishi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    Mwandishi wa post hii ni MBUMBUMBU! Waweza toa sababu,ni kwanini labda now zaidi ya miaka hamsini ya uhuru wa Taifa barabara ya Mtwara Dar haijakamilika kwa kiwango cha lami?? Na pia kwanini ijengwe bandari mpya bagamoyo na ilhali kuna bandari (underutilized) za Mtwara na Tanga? Mtoa hoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GESI YA MTWARA: Huu ndio unafiki wa wasomi na wanasiasa.

    Gesi leo hii imekua ishu kubwa kusini mwa Tanzania hali ya sasa ikiwa wananchi wameamua kudai haki zao kwa nguvu kutokana na rasilimali zinazowazunguka. Serikali nayo kwa ubabe wake na bila kuwashirikisha wananchi inashikilia msimamo wake kuwa gesi lazima iende Dar es salaam kwakuwa ndo kitovu...
Back
Top Bottom