Habarini.
Nahitaji kushauriwa kuhusu soko la mpunga.
Kwani ndo nimeanza kulima hekar kadhaa na miezi 2 ijayo natarajia kuvuna.
Watu wa huko wanasema gunia la mpunga wanauza 45000 na nikifanya hesabu naona sipati faida ilee nzuri yaani. Je, nifanyeje?
Ni morogoro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.