Recent content by Mutakyahwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je enzi zako za shule wale jamaa waliokuwa wanapiga sana msuli (kitabu) mlikuwa mnawaitaje?

    Tulikuwa tunawaita 'waliotumwa na kijiji' maana ukitania usisome wanakijiji na michango yao hawatakuelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza CD za ngono za Maceleb wa bongo na ulaya na Viongozi mbalimbali(Enterpreneur)

    Ahaa kama vp shusha mzigo hapa tukuamini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Bwana inabidi utangaze maslai yako (declare you interest) ndo baadaye tukuukumu kama ulikuwa unakimbia kila mwalimu wa Bios alivyokuwa akiingia?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kinana: Serikali tatu ni hatari, itasababisha machafuko

    Anaposema serikali tatu si sawa ipi sawa. Kuhusu pale anaposema itavuruga umoja wa kitaifa ya sasa haivurugi umoja huo. Si sawa wabunge kutoka zanzibar kuhudhuria vikao vya bunge ambavyo havihusiani na wizara za Muungano ambazo ni wizara ya fedha,wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya ndani,ofisi...
Back
Top Bottom