Recent content by mutajwaha appolinary

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Wewe unayetaka CV ya Kubenea, kuna kazi kaomba kwako?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Pamoja! Ni Coincidence au MUNGU Ameongea?

    Jamani kama una mapenzi na mtu kwa hisia zako, endelea nae mkanywe naye chai. Je wote waliokosa ubunge walimsema Pr. Muhongo. Mbona wapo wengi tu walimsema na wamerudi bungeni. Ilaelekea wewe siyo mfuatiliaji wa mambo, umelipuka tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Jamani hata kama hatuwapendi tusiwaombee wafe kwa chopa. Omba washindwe uchaguzi hiyo ndo adhabu sitahili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa zaidi ya Sh. bilioni 600, Watanzania tupo kimya tu?

    Ndugu yangu Tetty, mgomo unaosema upo sana ni mgomo wa woga na unaangamiza taifa lote. tunataka mgomo wa uzalendo ambao ni mgomo wa wazi ambao unatafuta suluhisho la mapema ili taifa lisiangamie kama mnavyofanya, mgomo wa kimyakimya huo ndio upumbavu na ujinga unaosemwa!
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Jamaa uliye Arusha, mbona umetoa kali leo, yaani huyo Mzenji na Mtanganyika wanaweza mchakamchaka, du! Tanzania ya leo haihitaji watu wa kimya kiasi hicho. Tunahitaji kiongozi shupavu ambaye hata ukimtazama anavyoongea, na usoni anaonyesha hivyo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Viongozi wa Afrika wamezidi kupenda madaraka, wananchi wa Burundi walijua fika wakisubiri sanduku la kura Nkurunzinza atapita tu kwa hila! Nawapongeza wanajeshi wa Burundi ilimradi nao wasiwe kama waliyempindua.
Back
Top Bottom