Recent content by Mustard Seed

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Quran imeandikwa na binadamu, kwa maelekezo ya binadamu, na wakaamua kuchoma nakala zingine ambazo wenzao waliandika Ili wabaki na nakala aina moja. Quran imekusanywa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo cha mwamedi, hata yeye mwenyewe mwamedi hajawahi kuiona hiyo kurani mnayoisoma leo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Tuonyeshe hiyo Torati na Injili ambayo Waislamu wanaikubali! iko wapi, tutaipataje ili tujue hiyo new testament tuliyonayo imechakachuliwa? Kwa kifupi hakuna!!! Injili haijawahi kubadilishwa, imekuwepo miaka kwa miaka, tuna mamia ya manuscripts zinazothibitisha Hilo kuliko kitabu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Uthibitisho ni rahisi sana, ni wewe kutuonyesha hizo Biblia ulizozitaja, orodhesha vitabu vyake kila moja ya hizo, katika hiyo orodha utaona vitabu 66 vinajirudia kila Biblia utakayoitaja.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Heshima kwako. Umetoa hoja muhimu sana hapo. Kuhusu tofauti ya 'Transmission' ya Quran na Biblia. Qurani ilisambazwa kwa kuongozwa na kikundi cha watu wachache, ambayo huitwa 'Controlled Transmission'. Watu wenyewe wanajulikana, waliamua Neno gani liwekwe kwenye Quran, mpangilio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Usiwadanganye waislamu wenzio wasiofuatilia mambo. Counter challenges kwenye uandishi, uhifadhi na usambazaji wa Quran umekuwepo kwa miaka nenda rudi, na Bado unaendelea hata sasa sehemu nyingi duniani. Mfano rahisi ni kuonekana kwa nakala zaidi ya ishirini za Quran mjadala ulioibuliwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Usikasirike, wakristo hawawezi kumuamini nabii wa uongo mwamedi. Wakristo duniani kote, wamekubaliana kwenye vitabu 66. Halafu, baadhi ya madhehebu yamekuwa na vitabu vinavyojulikana kama Apokrifa, hivyo wanavisoma kupata hekima ama kujua historia ya mambo, lakini sio kundi moja na vile 66
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu Roho Mtakatifu ametufundisha kuikataa Quran na mwamedi, amesema ni mpinga kristo na nabii wa uongo, hicho ndiyo kitabu alichotukataza kwa kuwa ni cha uongo. 1 Yohana 2:22-23, 26 22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Roho Mtakatifu ndiye aliyewafunuliwa wakristo wakakubaliana kwenye hivyo vitabu 66 (Hivi ndiyo authoritative ) baada ya hivyo, ametoa liberty, ukiona kinafaa kufundisha unaweza kukisoma, kama unaona hakifai unakiacha, ni vitabu vya historia ama hekima ya jinsi ya Kuishi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Nimekwisha kukutajia consensus ya wakristo wa madhehebu yote ni vitabu vingapi, umesema ukiGoogle ni rahisi kupatikana, basi nikajua utavipata kwa urahisi hivyo vitabu. Vitabu 66 vinakubaliwa na madhehebu yote ya Kikristo, basi hivyo ndivyo vya kuanzia ukitaka kuujua Ukristo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Nashukuru, kumbe unavijua.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Sijaitaja Quran kwa sababu haijahifadhiwa kama ambavyo ilitakiwa, Kuna masahihisho mengi yamefanyika hadi kuwa na Quran zilizopo sasa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu, Unaweza kunitajia hivyo unavyovijua wewe, unaposema vipo sabini na zaidi, vishushe hapa nikuonyeshe 66 vinavyokubaliwa na wakristo wote duniani!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maandiko yapo, lakini bado mnasema Neno la Mungu limehifadhiwa kikamilifu.

    Mkuu Heshima kwako, Madhehebu mbalimbali ya Kikristo yanakubaliana kwenye jumla ya vitabu 66, hivyo vinatambulika kwa madhehebu yote kuwa na mamlaka/hadhi ya kuwa ni maandiko matakatifu yanayowakilisha Neno la Mungu. Halafu, baadhi ya madhehebu yanavitambua vitabu vingine vinavyoitwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama kiongozi mkristo akiwa mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi, akitubu dhambi zake anasamehewa basi tuna safari ndefu sana

    Mkuu, Umeuliza swali zuri sana, nafikiri utapata majibu mazuri pia. Falsafa ya Ukristo kwenye suala la dhambi inaeleza kuwa ni kosa unalolifanya kwa mujibu wa Mungu, yaani ni jambo ulilolofanya kinyume na amri za Mungu, na hapo uliyemkosea ni Mungu (baadhi ya hizo dhambi zinahusisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Mkuu, Unajichanganya sana kwenye maelezo yako. Kwa hiyo, hizo asilimia umezipataje ikiwa huna hakika na usahihi wa hayo maandiko, si useme tu Biblia yote haiaminiki, kwa upande wako? Ukumbuke, Biblia imeandikwa miaka mingi kabla Yesu hajazaliwa (Yesu Kristo mwenyewe ameisoma Biblia - Agano...
Back
Top Bottom