Recent content by must b

  1. must b

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa android Tv kuperuzi Netflix

    Netflix inabidi uwe na account,log in itakwambia uingize details zako na uanze kuinjoy Netflix ,. Kifurushii kinaanzia 12000
  2. must b

    JamiiForums Tanzania Jamani nilikuwa naomba mwenye kufahamu hostel za nje za NIT na nazipataje

    Bado wamenambia nilipe hela yote ndo nifanye
  3. must b

    JamiiForums Tanzania Jamani nilikuwa naomba mwenye kufahamu hostel za nje za NIT na nazipataje

    Ada tunalipaje maana sijaelewa Nimepata mkopo 1000000 na ada yote ni shlng mil1.3 jana wamenambia nilipe yote lak 3 kwa pamoja hivi ni sawa ?. Mimi nilifikir unaigawa mara 2 nusu sem ya kwa za na nusu sem ya pili
  4. must b

    JamiiForums Tanzania Najaribu kulog in website ya HESLB haifunguki kwenye akaunti ya kuombea mkopo

    Hata kwangu hivyo hivyooo mkuu
  5. must b

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Nenda kwenye profile yako Utaona kila kitu
  6. must b

    JamiiForums Tanzania St john university

    vyumba vinaanzia elfu 40000 na kuendelea
  7. must b

    JamiiForums Tanzania St john university

    wala usiumize kichwa vyumba vipo vingi sana ukishuka tu chuo kuna madalali.wengi sana nje wanakupatia chumba unachohitaji na kulingana na mahitaji yako
  8. must b

    JamiiForums Tanzania St john university

    naingia mwaka wa pili
  9. must b

    JamiiForums Tanzania St john university

    gheto lipo mimi nasoma hpo
  10. must b

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO LINDI NIJE ARUSHA AU MOROGORO IDARA YA ELIMU SECONDARY
  11. must b

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma NIT na waliochaguliwa NIT mwaka huu tukutane hapa

    mwenye joining instruction atupie humu
  12. must b

    JamiiForums Tanzania Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

    ada na compasary charge vipoje
  13. must b

    JamiiForums Tanzania Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

    Hata mdogo wng amechaaguliwa hiyoo course vp mda na comp charge Vipoje
  14. must b

    JamiiForums Tanzania ukiandikiwa have multiple selection inabidi uchukue hatua gani

    ndiyo undergraduate
Back
Top Bottom