Recent content by Musoma Yetu

  1. Musoma Yetu

    TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

    Alifundisha nyamatare, na kigera
  2. Musoma Yetu

    TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

    Nimeumia sana kiukweli. Tulisoma shule moja primary na baadae secondary, Ila nilikuwa nimemwacha mwaka mmoja nyuma! Mama yake pia alikuwa Mwalimu, na alinifundisha shule ya msingi.
  3. Musoma Yetu

    Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

    Hapa naona kuna vita kali inaendelea Tanzania. 2025 lazima tutapoteza tena kiongozi
  4. Musoma Yetu

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Sasa mnakuwa na local journal kibao, what do you expect? Quality hamna. Watu Wana publish kwa kujuana kwenye journal zetu. Kuna ma Prof na ma Dr hapa bongo, ukiingia google scholar, ukiandika jina linatokea Facebook
  5. Musoma Yetu

    TANZIA DR. Theophir Kayombo afariki dunia

    Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu. Kayombo the Dr. alikuwa maarufu sana pale alipoimbwa na mwanamziki Bestnaso! Kesho mwili utasafirishwa...
  6. Musoma Yetu

    Msaada: Mwili wangu unapata joto kali sana

    Mkuu hiyo itakuwa corona
  7. Musoma Yetu

    Tui la nazi: Dawa ya kufubaza virusi

    Hii topic ilikuwa muhimu sana kwenye hii COVID
  8. Musoma Yetu

    Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    GPA za kwenye vyeti si kitu kabisa. Ni vilaza tu sema kwa sababu moja au nyingine walifaulu mitihani yao. GPA si kitu, muhimu ni uelewa wa vitu. Lijitu linakariri tu linafaulu baadae na lenyewe linakuja kukaririsha watu. Mbona hao malecture au maprofessor hatuoni wanafanya tafiti ambazo zina...
  9. Musoma Yetu

    Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Mkuu Hero asante sana na hii mada. Ulichokisema ni hoja pana sana. Mimi kuna vitu huwa nashindwa vielewa, sasa kupitia hapa naomba pia niongeze dodoso. 1. Hawa ma lecturer wanaong'ang'ania GPA za 3.8 na 4.0, tunaamini sawa ni vipanga hapa Tanzania. Sasa inakuwaje ukienda kwenye publication hawa...
Back
Top Bottom