Korosho tamu kutoka kusini mwa Tanzania katika mkoa wa Mtwara. Zipo kwa ajili yako si za kukosa kabisa maana utamu wake ni wa kipekee. Napatikana Dar ila na mikoani natuma napatikana kwa namba 0658460989 na bei zake ni
rahisi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ambacho nasema mi ni mjasiriamali ,kwahiyo kama kunakuwa na semina na kongamano ambayo yanatukutanisha wajasiriamali naamini inakuwa kama darasa kwetu ,kupeana ujuzi mbali mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mjasiriamali mdogo lakini nilikuwa nataka kushare something with the audience.
Naamini sisi wajasiriamali wadogo huwa tunapita changamoto nyingi sana katika kufikia lengo la biashara tunazofanya kwa maana tunahitaji mafanikio.
Pia ningependa kuomba kama kunakuwa na kongamano au semina...
Hizi ni korosho safi kutoka kusini mwa Tanzania, Mtwara. Kama kijana niliyeamua kujiajiri nawaletea bidhaa mzuri sana ya korosho mzuri na tamu pia.
Napatikana Dar es salaam lakini na mikoani pia natuma. Ila pia Instagram niko available as _muslim_cashewnut na unaweza nichek Whatsapp kwa namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.