Kama kuna mtu kila anachosema au anachotaka unaitika ndio, bila kuangalia kipo kwenye utaratibu au hakipo, kitaathiri ratiba zako au maisha yako au lah. Huyo mtu ameyadhibiti maisha yako.
Kama unasema ndio ili kumridhisha mtu na moyo unaumia kwasababu tu ya kitu unachokitegemea kwake huna...
#USIISHIE_NJIANI
Habari Rafiki Yangu, Leo ni siku nyingine mpya kabisa ambayo unatakiwa uende ukaitumie vyema ili kufikia mafanikio kwenye kile ulichoamua kukifanyia kazi.
Usikubali kuipoteza siku yako kwa kufanya mambo ya kawaida.
USIJIHURUMIE SANA.
Ili upate matokeo makubwa zaidi wakati...
Jacob Mushi: PATA NAKALA YAKO BURE LEO UMUHIMU WA MAONO- KITABU... PATA NAKALA YAKO BURE LEO UMUHIMU WA MAONO- KITABU APRIL - Jacob Mushi
https://dl.dropboxusercontent.com/s/43fitherp77bo58/UMUHIMU%20WA%20MAONO-%20BOOK%201.pdf?dl=0
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.