Ni vigumu kulifanya pingamizi la kisheria, lakini hilo laweza kuwa pingamizi la Wananchi.
Bila kujali mipaka ya kiitikadi ni muhimu sana wananchi waseme, wazi kabisa na kwa msisitizo wenye kishindo, kuwa mbunge akishachaguliwa anakuwa mbunge wa watu na siyo wa nafsi yake wala chama cha siasa...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kipindi hiki. Nimefuatilia sana uchambuzi wa Mansoor, ni uchambuzi wa kisomi usiolenga kujipendekeza popote. Nampongeza sana Bw. Mansoor, namhimiza kusimama imara zaidi na nadhani kwa kiwango chake cha uelewa wa mambo atafika mbali.
Maoni kwa Bw. Moses, ni vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.