Recent content by musajboy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, CCM mmezidiwa upeo na Chadema/UKAWA

    yani inauma sana kuona kijana anakalia hapa kazi wakati hata iyo kazi hana... kina amka wewe muda wa mabadiliko
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA Jangwani: Watu kupelekwa kutoka Dodoma, Arusha, Singida, Zanzibar, Morogoro

    Hahahahaha...shkamoo..yani umetisha kiongozi...mwambie uyooo....team ukawa hapa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA Jangwani: Watu kupelekwa kutoka Dodoma, Arusha, Singida, Zanzibar, Morogoro

    hahahaha...maneno ya mkosaji..na mfa maji haishi kutapatapa...so,pole ndugu..yani kama mwanza walideki barabara sasa kwa ushauri wangu huduma ya kwanza isikose siku ya jumamosi jangwani maana itakuwa ni zaidi ya gharika... unaijuwa mvua ya nuhu?hahah utakuwa unaijuwa wewe..yani ile mvua ilikuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    bado mtoto upande wa siasi...na mim nniambie ni lini,wapi na wakati gani pombe alitangaza nia...na sera yake ni ipi....?:wink:
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Hahahahah.....Nyani ngabu umetisha kaka...yani ukiwa chini ya ccm lazima uwe fisadi..but chini ya UKAWA u will never be that fisadi...ccm tought people how to be mafisadi..but in UKAWA we teach people how to become a good ruler....
Back
Top Bottom